Website hii inajihusisha na utoaji wa huduma mbalimbali kama vile
- Kilimo
- Utunzaji wa Mazingira
- Usafishaji Mashamba
- Ufugaji Nyuki
- Kilimo cha Mbogamboga
- Usimamizi wa Miradi ya Kilimo
- Consultants/Ushauri
- Ufyekaji na usafishaji wa mapori kwa vifaa na mitambo
- Uongezaji wa thamani wa mbogamboga na matunda
- Utoshaji miche ya Kisasa
- Uhifadhi wa Mazao
BOFYA HAPA kuwasiliana nasi kupitia whatsapp